• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji wa Korogwe
Halmashauri ya Mji wa Korogwe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Korogwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mipango Miji na Ardhi
      • Afya
      • Maji
      • Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii na Ustawi waJamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Viwanda
    • Mifugo
    • Kilimo
  • Huduma Zetu
    • Za afya
    • Kielimu
    • Za Maji
    • Za kilimo
    • Mifugo
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Elimu, afya,uchumi na maji
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Picha za Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio

Mji wa Korogwe washinda tuzo ya elimu kwa mwaka 2019

Posted on: November 11th, 2019

Mji wa Korogwe  washinda tuzo ya elimu kwa mwaka 2019

Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepata tuzo ya usimamizi bora wa mtihani wa kidato cha sita  mwaka 2019 kwa mkoa wa Tanga. Tuzo ambayo hutolewa kila mwaka nchini Tanzania ili kuwatambua na kuwaunga mkono wataalamu wa elimu.. Tuzo hii ilitolewa Oktoba 26, mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City uliopo katika eneo la Chuo kikuu cha Dar es salaam.

Akizungumzia tuzo hii Bi. Gild Mashunda ambaye ni Afisa Takwimu Sekondari katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe alisema tuzo hii iliandaliwa na taasisi ya Global Education Link  kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na Baraza la Mitihani Tanzania. Alifafanua  kuwa Halmashauri ya Mji wa Korogwe imepata tuzo kupitia Mwl. Theresia Kawele anayefundisha shule ya Sekondari Old Korogwe ambaye alishiriki katika usimamizi wa mtihani wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya wasichana ya Korogwe

Nae  Mwl. Theresia Kawele anayefundisha shule ya Sekondari Old Korogwe ambaye ni mshindi wa tuzo ya usimamizi ubora wa mitihani kwa mkoa wa Tanga alisema anafuraha kubwa  kutangazwa mshindi wa tuzo hii  kwani tuzo imeipa heshima kubwa shule ya sekondari Old Korogwe, Halmashauri ya Mji wa Korogwe na mkoa wa Tanga kwa ujumla. Mwl. Kawele alifafanua zaidi kuwa anaimani kubwa ushindi wake umetokana na kufanya kazi kwa bidii pamoja na kuzingatia  taratibu za usimamizi wa mitihani hivyo taasisi husika kumpa tuzo ya cheti pamoja na ngao

Kwa upande mwingine mwl. Ally Sengasu anayefundisha shule ya Old Korogwe alisema anafuraha kubwa kuona tuzo ya ubora wa elimu kwa mkoa wa Tanga imechukuliwa na mwl. Theresia Kawele anayefundisha shule ya Sekondari Old Korogwe. Mwl. Sengasu alisema tuzo hii imeipa heshima kubwa shule yao na kutoa  motisha kwa walimu kufanya kazi kwa bidii.

Matangazo

  • ULIPAJI WA KODI ZA HALMASHAURI March 20, 2017
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III April 10, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wenyeviti wa Mji wa Korogwe waapishwa baada ya CCM kushinda 100%

    November 28, 2019
  • Watumishi wa Mji wa Korogwe wapata mafunzo ya kupambana na ukimwi

    November 27, 2019
  • Mji wa Korogwe washinda tuzo ya elimu kwa mwaka 2019

    November 11, 2019
  • Mji wa Korogwe wajipanga kupambana na majanga

    October 23, 2019
  • Angalia Zote

Video

HATUA ZA MWISHO ZA UMALIZIAJI W STENDI YA KISASA YA MJI WA KOROGWE
Video Zaidi

Kurasa Muhimu

  • Ukodishaji wa Ukumbi
  • Ukasanyaji wa Taka

Tovuti Zinazohusiana

  • TOVUTI YA SERIKALI
  • TAMISEMI
  • UTUMISHI
  • MKOA TANGA
  • TUME YA AJIRA
  • PPRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Korogwe Tanga Tanzania

    S.L.P: 615 Korogwe

    Simu: 0272650050

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@korogwetc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright©2018 Korogwe Town Council. All rights reserved.